Mix

Haya ni mabadaliko kwa wanaoBET yamefanywa na betPawa bonasi asilimia 250%

on

Ofa za michezo ya ubashiri kwenye betPawa zimboreshwa zaidi baada ya uzinduzi wa bonasi ya ushindi ya asilimia 250%.

Kwa kubashiri sawa mkeka mmoja wa mechi 30 , utatunukiwa ofa ilio boreshwa ya asilimia 250%. Ziadi ya hayo, unaweza kuwekeza dau lolote kuanzia shilingi moja pekee.

betPawa wanakupa bonasi mpya na bora za ushindi popote pale Tanzania kwa kila mkeka wenye mechi tatu au zaidi. Bonasi mpya hii ya ushindi wa mpaka asilimia 250% inaanza na asilimia 3% kwa mechi tatu na inapanda mpaka asilimia 10% kwa mechi tano, asilimia 50% kwa mechi 12, asilimia 100% kwa mechi 20, asilimia 200% kwa mechi 28, na asilimia 250% kwa mechi 30. 

Sio bonasi hizi mpya za ushindi tu ndio zinazoweza kukupa nafasi ya kubashiri na kiasi kidogo na kushinda kiasi kikubwa. Kuna michezo miwili ya jackpot ndani ya kila wiki ambayo dau lake ni shilingi mia tu 100/- kwa tiketi moja.

Jackpot ya wikendi ni emPawa17, na ushindi wake unaanzia mechi 13 na zaidi na ushindi wa juu kabisa kwenye jackpot hii ni Tsh 200,000,000. emPawa13 ni jackpot ambayo ipo katikati ya wiki, na ushindi wake unaanzia mechi 10 na zaidi na ushindi wa juu kabisa kwenye jackpot hii ni Tsh 10,000,000. 

betPawa hutoa odds bora na kuongeza maradufu odds mara kwa mara kwa baadhi ya mechi (Pawaboost) na kuzifanya ziwe bora zaidi. 

Zaidi ya hayo,  unaweza kutegemea na kupata huduma bora kabisa kutoka kwa wahudumu wa wateja kwa masaa 24 ndani ya siku 7 kwa kupitia Whatsapp, kuomba kupigiwa au kupiga namba za simu, Facebook, barua pepe, pia hakuna makato wakati wa kutoa pesa, na ndani ya dakika chache unapokea malipo yako, na utafurahia huduma zote hizi kwa matumizi madogo ya bando lako la intaneti. 

Sasa unasubiri nini? Bofya hapa>>> betpawa.co.tz

 

Soma na hizi

Tupia Comments