Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Tuzo za BET 2015 zimeshatolewa tayari, list yote ya washindi ninayo hapa!
Share
Notification Show More
Latest News
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
May 30, 2023
Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023
May 30, 2023
Beyonce atoa pongezi za muziki kwa idol wake marehemu Tina Turner.
May 30, 2023
Marekani kuzingatia vikwazo vya visa kuhusu sheria ya Uganda dhidi ya mashoga
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Tuzo za BET 2015 zimeshatolewa tayari, list yote ya washindi ninayo hapa!
Habari za Mastaa

Tuzo za BET 2015 zimeshatolewa tayari, list yote ya washindi ninayo hapa!

June 29, 2015
Share
4 Min Read
SHARE

BET 2015Tuzo za BET Awards 2015 zilichukua headlines kubwa siku ya jumapili tarehe 28 June 2015 Los Angeles Marekani ambapo mc alikua ni Anthony Anderson na Trace Ellis Rose.

Wakali wa muziki kama Chris Brown, Nicki Minaj, na Rihanna na wengine walimiliki stage kwa kuperform. Janet Jackson pamoja na Smokey Robinson walikua baadhi ya watu waliopewa tuzo za heshima mwaka huu na BET.

Hapa chini nimekusogezea orodha kamili ya wale wakali wote waliopokea tuzo ya BET Award mwaka huu wachache wakiwemo Beyonce akiongoza na tuzo 3, Nicki Minaj akiwa na 2, Kendrick Lamar, Big Sean, Chris Brown, John Legend wakiwa na tuzo moja kila mmoja na kwenye kile kipengele cha International Best Act: Africa Stonebwoy kutoka Ghana aibuka kidedea.

Stonebwoy-BET-Awards-winner
Best International Act: Africa; Stonebwoy (Ghana)

Hii hapa ndio orodha kamili ya wasanii wote waliopokea tuzo za BET Award, karibu uitazame mtu wangu.

Best International Act UK:

FKA Twigs

Fuse ODG

Lethal Bizzle

Little Simz

Mnek

Stormzy- Winner

Best International Act Africa:

AKA

Stonebwoy- Winner

Sarkodie

Fally Ipupa

Sauti Sol

Wizkid

The Soil

Yemi Alade

Best Female R&B/Pop Artist:

Beyoncé- Winner

Janelle Monáe

Jhene Aiko

Ciara

Rihanna

K. Michelle

Best Male R&B/Pop Artist: 

Chris Brown- Winner

Trey Songz

The Weekend

August Alsina

Usher

John Legend

Best Group:

A$AP Mob

Migos

Rae Sremmurd- Winner

Rich Gang

Young Money

Jodeci

Best Collaboration:

Chris Brown Ft. Lil Wayne and Tyga – “Loyal”

Big Sean Ft. E-40 – “IDFWU”

August Alsina Ft. Nicki Minaj – “No Love”

Chris Brown Ft. Usher and Rick Ross – “New Flame”

Common and John Legend – “Glory”- Winner

Mark Ronson Ft. Bruno Mars – “Uptown Funk”

Best Male Hip-Hop Artist:

Kendrick Lamar- Winner

Common

Big Sean

Drake

J. Cole

Wale

Best Female Hip-Hop Artist:

Azealia Banks

Dej Loaf

Iggy Azalea

Tink

Nicki Minaj- Winner

Trina

Video of the Year:

Beyonce – “7/11”- Winner

Big Sean Ft. E-40 – “IDFWU”

Chris Brown Ft. Lil Wayne and Tyga – “Loyal”

Chris Brown Ft. Usher and Rick Ross – “New Flame”

Common and John Legend – “Glory”

Nicki Minaj – “Anaconda”

Video Director of the Year:

Benny Boom

Beyonce, Ed Burke and Todd Tourso – Winner

Chris Robinson

Fatima Robinson

Hype Williams

Best New Artist:

Bobby Shmurda

Dej Loaf

Fetty Wap

Rae Sremmurd

Sam Smith- Winner

Tinashe

Best Gospel Artist:

Michelle Williams

Erica Campbell

Deitrick Haddon

Fred Hammond

Mali Music

Lecrae- Winner

Best Actress:

Gabrielle Union

Kerry Washington

Taraji P. Henson- Winner

Tracee Ellis Ross

Viola Davis

Best Actor: 

Anthony Anderson

Idris Elba

Jussie Smollet

Kevin Hart

Terrence Howard- Winner

Youngstars Award:

Jacob Latimore

Jaden Smith

Mo’ne Davis- Winner

Quvenzhane Wallis

Zendaya Coleman

Best Movie:

“Annie”

“Beyond the Lights”

“Selma” – Winner

“Think Like a Man Too”

“Top Five”

Sportswoman of the Year: 

Brittney Griner

Candace Parker

Serena Williams- Winner

Skylar Diggins

Venus Williams

Sportsman of the Year: 

Chris Paul

Floyd Mayweather Jr.

LeBron James

Marshawn Lynch

Stephen Curry- Winner

Viewer’s Choice Award: 

The Weekend –“Earned It”

Kendrick Lamar – “I”

Dej Loaf – “Try Me”

Rae Sremmurd Ft. Nicki Minaj and Young Thug – “Throw Sum Mo”

Beyonce –“7/11”

Nicki Minaj Ft. Drake, Lil Wayne and Chris Brown – “Only” – Winner

Centric Award:

Avery Sunshine – “Call My Name”

Jazmine Sullivan Ft. Meek Mill – “Dumb”

Mark Ronson Ft. Bruno Mars – “Uptown Funk”

Sam Smith Ft. Mary J. Blige –“Stay With Me”

The Weekend – “Earned It” -Winner.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Harmonize aibua mapywa, afichua ya Dada wa Diamond, aeleza alivyoshiriki kwenye wimbo huu mpya

Tazama Diamond ‘Sheikh Mansoor’ akiwapokea Watoto wake Airport na Rolls Royce ‘Tiffah na Nillah’

Millard Ayo June 29, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha za nyumba mbili nilizodata nazo leo, zimejengwa vizuri sana!
Next Article Msanii wa Afrika aliyegoma kwenda kwenye tuzo za BET kwa makusudi, dharau imehusika..
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
Top Stories May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
Top Stories May 30, 2023
Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023
Top Stories May 30, 2023
Beyonce atoa pongezi za muziki kwa idol wake marehemu Tina Turner.
Entertainment May 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu

May 30, 2023
Top Stories

Marekani kuzingatia vikwazo vya visa kuhusu sheria ya Uganda dhidi ya mashoga

May 30, 2023
Top Stories

FIFA imethibitisha ratiba ya michezo mingine yote ya Kombe la Dunia la U-20 inayoendelea.

May 30, 2023
Top Stories

Mahakama ya Libya imewahukumu kifo watu 35 kwa kupigania kundi la Islamic State

May 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?