Videos

VideoMPYA: Baada ya picha za kujipaka mafuta, Ben Pol kaachia video yake

on

Gumzo lake lilianzia baada ya kufuta picha zote kwenye Instagram yake na kisha kupost picha chache akiwa bila nguo na mwili wake ukionekana umeng’aa baada ya kupakwa mafuta ambapo alipoulizwa alisema ni wimbo mpya unakuja unaitwa ‘tatu

Sasa leo Ben Pol ndio ameachia video yake ambayo ni hii unaweza kuitazama hapa chini na kisha ukaacha maoni yako baada ya kuitazama

EXCLUSIVE: Ben Pol afunguka kuhusu chanzo cha picha zake za bila nguo, play hapa chini kumtazama

Soma na hizi

Tupia Comments