Stori Kubwa

Maneno ya mastaa 12 wa bongo na Kenya baada ya Diamond kuchaguliwa tuzo za BET 2014

on

Screen Shot 2014-05-15 at 4.18.23 AM

Hii picha imepostiwa na Ommy Dimpoz muda mfupi tu baada ya Diamond ambae yupo Uingereza na Ommy Dimpoz kupata taarifa za kuchaguliwa kwenye tuzo hizi.

Mastaa wengine waliotoa yao ya moyoni ni pamoja na mpenzi wake Diamond… Wema Sepetu, Ay, Young D, Salama Jabir, Madee na wengine akiwemo Belle 9 alieandika >>> ‘kwa hatua hii tuseme thanks God ni historia kubwa kwa muziki wetu tofauti na ulipotoka mpaka hapa saluut Diamond Platnumz’

Screen Shot 2014-05-15 at 3.55.23 AM
Screen Shot 2014-05-15 at 3.54.46 AM

Screen Shot 2014-05-15 at 3.54.34 AM

Screen Shot 2014-05-15 at 3.54.22 AM

Screen Shot 2014-05-15 at 3.54.04 AM

Screen Shot 2014-05-15 at 3.55.01 AM

Screen Shot 2014-05-15 at 3.55.15 AM

Screen Shot 2014-05-15 at 3.55.31 AM

Screen Shot 2014-05-15 at 3.55.41 AM

Screen Shot 2014-05-15 at 4.33.20 AM

Screen Shot 2014-05-15 at 4.33.35 AM

Screen Shot 2014-05-15 at 4.33.52 AMUnataka nikuletee kila stori? jiunge na mimi twitter kwa kubonyeza HAPA, pia Instagram na facebook kwa kubonyeza INSTA na FB

Tupia Comments