Michezo

Video ya Ronaldo, Bale, Ramos na wengine wa Real Madrid wakimpokea Zidane dressing room …

on

Real Madrid ilitangaza kumfuta kazi kocha Rafael Benitez na nafasi yake kuchukuliwa na mkongwe Zinedine Zidane, kwenye hii post hapa nimekuwekea video ya jinsi Zidane alivyowasili katika vyumba vya kubadilishia nguo vya Wachezaji wa Real Madrid na kukutana na wachezaji wake kwa siku ya kwanza kama kocha.

Hii video hapa chini ni ya Zidane akiwa uwanjani kwenye siku ya kwanza ya mazoezi na Real Madrid.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments