fB insta twitter

Picha ya kwanza ya mapacha wa mastaa Beyonce na JAY Z hii hapa.

on

Ikiwa ni mwezi mmoja tangu mastaa wa muziki kutoka Marekani, Beyonce na mumewe JAY Z wapate watoto mapacha, kwa mara ya kwanza wametoa picha ya kwanza ya watoto hao. Kupitia Instagram ya Beyonce amepost picha ikimuonesha akiwa amewashika watoto wake wawili Sir Carter na Rumi.

Nimekuwekea hapa chini picha ya Beyonce na mapacha wake.

VIDEO: Ulipitwa na hii ya Jokate kukutana na JAY na Beyonce Marekani? Bonyeza play hapa kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments