Habari za Mastaa

Imeripotiwa Beyonce na Will Smith watakua ndani ya movie moja – Hancock 2

on

hankokWale waliowahi kuona Hancock ya kwanza ni superhero movie ambayo ilifanya vizuri sana na baada ya miaka 6 sasa wanakuja na story nyingine ya movie hiyo.

Taarifa zinazotoka ni kwamba Beyonce naye atakuwa star wa movie hii pamoja na Will Smith japokuwa bado taarifa rasmi hazijatoka.

Kama haukuwai kuiangalia hii movie cheki trailer ya movie ya kwanza na comment hapo chini unadhani Beyonce ata fit kwenye superhero movie au alipendeza zaidi kwenye Dream girls.

Tupia Comments