Top Stories

BREAKING: Waziri Kigwangalla apata ajali, ‘Mwandishi afariki’

on

Alfajiri ya Leo August 4, 2018 Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla amepata ajali ya gari akitokea Arusha kabla ya kufika katika eneo la Magugu na hali yake ni mbaya nasubiriwa Helicopter ili wamhamishie katika hospitali nyingine.

Mbunge wa Mbulu Vijijini Flaitey Masai amesema Mtu mmoja inayedaiwa kuwa ni Mwandishi wake wa Habari amefariki.

“Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla amepata ajali akitokea Arusha hali yake ni mbaya na tunasubiri Helicopter ili tumhamishe Hospitali na Mtu mmoja ambaye inadaiwa ni Mwandishi wake wa habari amefariki” amesema Mbunge wa Mbulu Vijijini Flaitey Masai

LIVE MAGAZETI: Kauli ya JPM yamvuruga Makonda, Jokate akabidhiwa mzigo wa majukumu

Soma na hizi

Tupia Comments