Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mtaalamu wa Elektroniki atakiwa kuchambua Email za Jamal Malinzi
Share
Notification Show More
Latest News
Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
August 15, 2022
Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania
August 15, 2022
Azikwa akiwa hai huko Madaba, DC afika eneo la tukio, ‘Jambo hili ni la kinyama’
August 15, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mtaalamu wa Elektroniki atakiwa kuchambua Email za Jamal Malinzi
Top Stories

Mtaalamu wa Elektroniki atakiwa kuchambua Email za Jamal Malinzi

August 1, 2018
Share
2 Min Read
SHARE

Leo August 1, 2018 tunayo story kutokea kwa upande wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambapo umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wanatarajia kuwa na shahidi mwenye utaalamu wa Elektroniki ili achambue Email katika kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na wenzake.

Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU, Leornad Swai amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri kuwa kesi hiyo imekuja ili kuendelea na ushahidi kutoka kwa Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Kidao Mzigama.

Swai amedai kuwa wanaiomba mahakama iruhusu kusimamisha ushahidi wa Kidao kwa muda ili wamlete shahidi mwingine ambaye ni mtaalamu wa masuala ya Elektroniki ili aweze kuchambua mawasiliano ya Email katika kesi hiyo.

Swai amedai kuwa hatua ya kutaka kumleta mtaalamu huyo inatokana na kutaka kuwasilisha kielelezo cha Email kama ushahidi ambapo mawakili wa pande zote waliipitia.

“Shahidi wa sasa hana utalaamu wa email, hivyo tunataka tumlete mtalaamu wa Elektroniki ili aichambue email na aweze kuitoa mahakamani,”.ameeleza Swai.

Baada ya kueleza hayo, Hakimu Mashauri ameahirisha kesi hiyo hadi August 14 na 15,2018 ili kusikilizwa mfululizo.

Washtakiwa wengine ni Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine, Mhasibu wa TFF, Nsiande Mwanga.

Washtakiwa hao, walipandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza Juni 29,2017, wakikabiliwa na mashtaka 28 ya kughushi na kutakatisha fedha Dola za Marekani 375,418.

Katika kesi hiyo, Malinzi na wenzake wanakabiliwa na mashtaka 28 ya uhujumu uchumi ikiwamo kughushi na utakatishaji wa fedha Dola za Marekani 375,418.

Katika kesi hiyo Malinzi na wenzake wanakabiliwa na mashtaka 28 huku wenzake wakikabiliwa na makosa yasiyozidi manne.

RC Mpya Iringa Ally Hapi alivyoapishwa na Rais Magufuli Ikulu

You Might Also Like

Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’

Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu

Azikwa akiwa hai huko Madaba, DC afika eneo la tukio, ‘Jambo hili ni la kinyama’

Rais Samia atoa Bilioni 15 jimboni kwa Shigongo

Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo August 1, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Watanzania wawili wanaosakwa na Polisi Marekani (+video)
Next Article FULL STORY: Walioapishwa Ikulu leo na alichozungumza JPM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
Top Stories August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
Top Stories August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
Sports August 15, 2022
Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania
Sports August 15, 2022

You Might also Like

Sports

Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’

August 15, 2022
Sports

Inter Milan wawapa Yanga cha kusema, Shaffi Dauda atia neno, Manara apigilia msumari

August 15, 2022
Sports

Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za Kocha

August 15, 2022
Sports

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?