Habari za Mastaa

Show ya Papii Kocha na Babu Seya Zanzibar

on

Babu Seya na mwanae Papii Kocha waliperform usiku wa kuamkia leo January 12 2018 katika mkesha wa miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara Unguja na hii inaonyesha ni jinsi gani wanamuziki hawa wanakubalika na watu nchini kwa sasa.

Ulipitwa na hii??Video iliyomnasa Papii Kocha akiperfom ukumbini

FULLVIDEO: Babu Seya na Papii Kocha rasmi waingia studio, Wazungumza haya

Soma na hizi

Tupia Comments