Mix

VIDEO: TFF walivyotangaza kuipiga faini Simba, Haji Manara na Azam FC

on

Shirikisho la soka Tanzania TFF leo October 5 2016 kupitia kwa afisa habari wake Alfred Lucas imetangaza maamuzi yaliofikiwa na kamati kuhusiana na mchezo wa Simba naYanga uliochezwa October 1 2016 na kumalizika kwa sare ya goli 1-1 na mashabiki waSimba kuvunja viti kutokana na refa Martin Saanya kukubali goli la Amissi Tambwealiyekuwa amehushika mpira.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments