Mix

VideoMpya: Tanzania Police wamekuletea wimbo wenye uhalisia na kazi ya polisi

on

Leo June 29, 2018 nakusogezea Video ya wimbo wa Askari wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha (Tanzania police) unaitwa ‘Kazi yao’  wameimba mazingira wanayokumbana nayo Polisi wakiwa kazini katika kukabiliana na wahalifu. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama wimbo huo usisahau kuweka comment yako.

MAGAZETI LIVE: Biashara ya kushikwa nyeti, matiti yaibuka, Mateso ya korosho

Soma na hizi

Tupia Comments