AyoTV

Singida United imedhamiria safari hii imeshusha mbrazil

on

Club ya Singida United leo imefanikiwa kutangaza usajili wa washambuliaji watatu akiwemo Tiba john kutoka Ndanda Fc kwa mkataba wa miaka mitatu.

Mkurugenzi wa timu Singida United Festo Sanga amesema mchezaji Felipe kutoka Brazil ametoka moja kwa moja kutoka nchini brazil tayari kwa kukipiga na Singida United na watakuwa nae msimu ujao.

Samatta na Omar Colley wameenda Macca

Soma na hizi

Tupia Comments