AyoTV

VIDEO: Kocha Ruvu Shooting “Nilijua Yanga watakuwa wadhaifu kiakili”

on

Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting Salum Mayanga ameeleza mbinu alizotumia hadi kuifunga Yanga SC kwa mara ya kwanza, Ruvu wameifunga Yanga 1-0 leo ikiwa ndio mara yao ya kwanza baada ya kucheza michezo 19, wakitoka sare michezo 3 huku Ruvu wakifungwa mara 15.

Salum Mayanga ameeleza kuwa alijua game inaweza kuwa rahisi kwa upande wao na wao kutaka matokeo, kutokana na Yanga walikuwa tayari washaathirika kisaikolojia kutokana na ombi lao la kutaka mchezo uchezwe August 30 2019 kukataliwa na bodi ya Ligi kitu ambacho wanadai kimepelekea wachezaji wao kuzidi kuchoka baada ya kusafiri kutoka Botswana hadi Dar es Salaam.

VIDEO: Zahera katoa povu “Mpango wa kukwamisha Yanga haujaanza leo”

Soma na hizi

Tupia Comments