AyoTV

VIDEO: Simba ilivyoiadhibu Singida United 4-0 leo, magoli yote yapo hapa

on

Simba leo January 18 2018 ilicheza game yake ya 13 ya Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Singida United na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0, magoli yakifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 3, Asante Kwasi dakika ya 24 na Emmanuel Okwi aliyefunga magoli mawilu dakika ya 75 na 82.

TFF imetangaza kumfungia Obrey Chirwa wa Yanga

Soma na hizi

Tupia Comments