Ad
Ad

Mix

Davido kampa zawadi msanii mwenzake Zlatan cheni yenye thamani ya milioni 19

on

Ni Headlines za msanii wa Nigeria, Davido ambae leo October 15, 2019 ameingia kwenye vichwa vya habari huko nchini kwao baada ya kumpatia zawadi ya cheni msanii mwenzake aitwae Zlatan.

Imeelezwa kuwa cheni hiyo yenye nembo ya 30 Bilion Gang imenunuliwa kwa pesa za Nigeria Milioni 3 Naira ambazo ni sawa na fedha za kitanzania Milioni 19.

Davido ameacha maswali yasiyokuwa na majibu kwa mashabiki huku wengine wakisema huenda Davido ana mpango wa kumsaini msanii huyo katika lebo yake.

Davido na Zlatan hapo awali walishawahi kufanya wimbo wao wa pamoja uitwao Bum Bum

 

Soma na hizi

Tupia Comments