Habari za Mastaa

Muimba Qaswida maarufu aliyedaiwa kubakwa na kujiua kazungumza kwa mara ya kwanza

on

Arafa ni muimbaji maarufu wa nyimbo za Qaswida ambaye nyimbo zake zimepata umaarufu sana kupitia nyimbo zake kama Jina langu Ramadhani, Mwanadamu Tambua, Mungu anaweza na Nipo kwenye ndoto.

Muimbaji Arafa aliwahi kudaiwa kubakwa na yeye kujiuwa kitu ambacho kilifanya tumtafute na kazungumza kwa mara ya kwanza tangu taarifa hizo zimesambaa.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Arafa akielezea.

Mabibi na Mabwana hili hapa kundi jipya la Muziki Bongoflevani VMG

Soma na hizi

Tupia Comments