Top Stories

MBUNGE MSUKUMA: Kaelezea kuhusu kuishia Darasa la Saba, kaeleza kila kitu

on

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma kafunguka kaeleza kuhusu ishu yake ya kuishia Darasa la Saba na namna alivyofanikiwa katika biashara huku akielezea historia ya maisha yake kwa ujumla.

Aidha, amesema kuishia kwake kiwango hicho cha elimu haikumaanisha kuwa hakuwa na uwezo darasani ila ni kutokana na uhaba wa shule za Sekondari hivyo ikamlazimu kujikita zaidi katika biashara ambayo kwa kiasi kikubwa imempa ujuzi mkubwa wa masuala ya uchumi.

>>>”Nimeamua kuzungumza wazi kuwa mimi nimeishia darasa la saba kwa sababu naamini ukinilinganisha na wasomi wengi mimi bado nina uwezo wa juu sana kwasababu nimekua mtaani miaka hii yote hivyo natambua matatizo ya watu kuliko hata ya hao wasomi” – Joseph Msukuma.

IGP Sirro kaongelea ishu ya Tundu Lissu kupigwa risasi

Soma na hizi

Tupia Comments