Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Rayvanny kazungumzia Kolabo yake ya pamoja na Card B na French Montana

on

Kupitia instagram account ya Rayvanny alishawahi kupost picha zikimuonyesha akiwa studio na msanii Jason Derulo kutokea Marekani vipi kuhusu collabo hiyo? Na tutegemee ndani ya collabo hiyo kuwemo Cardi B au French Montana?

Bonyeza PLAY kumsikiliza Rayvanny akielezea yote hayo.

Ulipitwa na Meneja wa Diamond kuuliza “Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?

Soma na hizi

Tupia Comments