Top Stories

Bibi afika Polisi baada ya kuondolewa kwenye kiwanja alichokaa miaka 39 (+video)

on

Bibi Frida Kimaro mwenye umri wa miaka 82 amefika katika Kituo cha Polisi Boma Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro kufungua kesi baada ya baadhi ya ndugu kughushi nyaraka kwa lengo la kutaka kumnyang’anya eneo lake.

MADEE ATOA YA MOYONI “NIMEKAMATWA KWELI KABISA NILIKUWA MWIZI, NNISHAFIKISHWA MAHAKAMANI”

Soma na hizi

Tupia Comments