Top Stories

Bibi amwaga machozi, ataka kutimuliwa kwenye nyumba aliyokaa miaka 58, DC Sabaya azuia (+video)

on

Serikali Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro imezuia jaribio la kumuondoa Frida Saralawa, Bibi aliyetakiwa kuondoka katika eneo aliloishi kwa zaidi ya miaka 58 huku mazingira ya kuondolewa kwake yakigubiowa na utata.

Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameamuru Bibi huyo kutoondoka na kumuagiza Mwanasheria wa wilaya kusimamia haki ya Bibi huyo kupatikana.

MREMBO AMWAGA MACHOZI KISA MAPENZI YA SAID “NIOZESHE BILA HATA MAHARI”

Soma na hizi

Tupia Comments