Top Stories

Bibi mjanja ‘chalii ya r-chuga’ anavyopambana kuuza ndizi misemo yake “maina mjuba”

on

Faustina Mollel maarufu kama ‘bibi chali ya r’ni bibi mwenye umri wa miaka 73, amejichukulia headlines Arusha kutokana na uzungumzaji wake pamoja na uchangamfu  alionao lakini hajawahi kukata tamaa yakupambana kwa kuwa anajishuhulisha na biashara aliyoianza siku nyingi yakuuza ndizi ambapo kiasi cha fedha anazozipata anazitumia kulisha familia

“mimi sitakubali kukaa nishazoea hata hii kuchekacheka hapa umri unaongezeka sitakuwa na manyama uzembe ndio maana najihangaisha hapa nafanya mazoezi,nishazoeleka kuitwa chalii ya R imekuwa ni kitu kimekomaa,watu wamezoea misemo yangu haikatai,machalii ya r”- Faustina

TAZAMA ASKARI WALIVYOFYATUA MABOMU JUU WAKATI WAKUMZIKA KAMANDA KIDAVASHARI

Soma na hizi

Tupia Comments