Habari za Mastaa

Bifu la Mwijaku na Mpoto limeisha, wakutana uso kwa uso (video+)

on

Ni Septemba 15, 2021 ambapo wasanii wanaoishabikia Simba SC walikuwa na jambo lao kuelekea kwenye shamra shamra za Simba DAY zitakazofanyika Septembe 19  katika uwanja wa Mkapa DSM.

Sasa miongoni mwa walioshika kipaza sauti leo na kuinadi Septemba 19 ni Mtangazaji Mwijaku na Mrisho Mpoto, tazama walichokizungumza.

VIDEO: MADOIDO YA MSANII WHOZU NA MEJA KUNTA KUELEKEA SIMBA DAY

Soma na hizi

Tupia Comments