Top Stories

Bilionea Laizer achinja ng’ombe sita watu wale bure nyumbani,ataka kumuona Rais Magufuli

on

Bilionea Laizer ambaye amepata madini ya Tanzanite yenye thamani ya shilingi bilion 7.8 leo amechinja ng’ombe sita ili ndugu, wafanyakazi pamoja na jamaa na marafiki waweze kushiriki pamoja kumshukuru Mungu kwa yale ambayo amemtendea

Laizer amesema pamoja na hayo anatamani kuonana na Rais Magufuli kama kuna uwezekano kwa kuwa ana mambo mengi yakuzungumza naye

HII SASA NDIO HISTORIA YA BILIONEA LAIZER, MSOTO MIAKA 10, WAKE WANNE, WATOTO 30, NYUMBA 4

Soma na hizi

Tupia Comments