Top Stories

Bilionea Laizer afunguka kuongeza Mke wa 5 baada ya Ubilionea ‘Binti Mrembo’

on

Ukweli ni kwamba Bilionea mpya Tanzania Saniniu Laizer ni Mume wa Wake watano na anaishi nao wote kwenye eneo moja akiwa amewajengea nyumba Mererani Manyara Tanzania, baada ya kutangazwa kuwa Bilionea mpya kwa kupata madini ya Tanzanite yenye thamani ya BILIONI 7.8 mitandao mbalimbali iliripoti kwamba moja ya vitu alivyovifanya ni kuongeza Mke wa tano na picha hii ikasambaa, Millard Ayo amempata Laizer na kuongea nae tazama kwenye hii video hapa chini

BILIONEA LAIZER AONESHA SHULE ALIYOIJENGA KWENYE KIWANJA CHAKE “NIMEJITOLEA BURE”

Soma na hizi

Tupia Comments