Top Stories

Bilionea Laizer alivyouza jiwe lingine lenye thamani ya Billion 4.8 Mirerani

on

Serikali  imenunua jiwe la kilo 6.3 la madini ya Tanzanite kutoka kwa mchimbaji mdogo wa madini  Saniniu Laizer lenye thamani ya  bilioni 4.8

Kwa mujibu wa Wizara ya Madini jiwe hilo lilichimbwa pamoja na mengine makubwa mawili ambayo yalinunuliwa na serikali mwishoni mwa mwezi Juni ambapo waziri wa madini Dotto Biteko pamoja na viongozi wengine waliongoza zoezi hilo la makabidhiano ambalo limefanyika Mirerani mkoani Manyara

Mwezi juni mwaka huu Bilionea Laizer alipata madini mengine ya Tanzanite ambapo serikali ilinunua kwa shilingi Bilion 7.8

 

Soma na hizi

Tupia Comments