Top Stories

Bilionea Laizer ampongeza Rais Magufuli kwa ukuta Mererani “kulikua na uhuni mwingi”

on

Bilionea Laizer amempongeza Rais Magufuli kwa kujenga ukuta kuzunguka machimbo ya Tanzanite Mererani Manyara kwasababu ukuta huo umesaidia usalama kuwa mkubwa lakini pia hata Wachimbaji wanapopata madini wanakuwa na amani kwani zamani kulikua na ujambazi wa silaha na Wachimbaji wengi waliporwa madini yao na Watu wenye silaha pale tu walipotoka shimoni na ulikua ni mchezo wa kawaida au kila wakati.

EXCLUSIVE: NYUMBA 4 BILIONEA LAIZER ALIZOWAJENGEA WAKE ZAKE

Soma na hizi

Tupia Comments