Top Stories

Bilionea mpya Tanzania aongea alivyopata Tanzanite “nina mgodi,nikapiga simu”

on

Leo wizara ya madini imemtambua  mchimbaji mdogo  wa madini Saniniu Laizer kuwa billionea baada yakupata mawe makubwa  mawili ya Tanzanite yenye thamani ya  shilingi bilion 7.8.Bilionea huyo amesema ana mgodi wake na kwamba hajawahi kupata madini kama hayo

“Nimejisikia vizuri kwa sababu hii ni heshima kubwa sana Tanzania kupata jiwe la mfano, mimi sijawahi kupata jiwe kama hilo”-Laizer

TAZAMA STYLE ZA VIJANA WANAVYOCHEZA NA PIKIPIKI BILA WOGA ARUSHA “TUNAITA DEDE”

Soma na hizi

Tupia Comments