Top Stories

Bilionea mpya wa madini apatikana Arusha,anaitwa Laizer

on

Sekta ya Madini nchini Tanzania imezidi kuibua Mabilionea ambapo Jijini Arusha Gabriel Sendeu Laizer amekuwa Bilionea Baada ya Kuchimba na Kupata tani 5 za Madini ya Rubi yenye thamani ya bilioni moja nukta saba katika machimbo yaliyopo Mundarara wilayani Longido Mkoani Arusha.
Sendeu  anakuwa bilionea anayeingia kwenye rekodi Tanzania katika kipindi cha mwaka mmoja akitanguliwa na Saniniu Laizer ambaye alipata  madini ya Tanzanite yenye thamani tofauti tofauti

 

 

BILIONEA LAIZER ALIVYOUZA JIWE LINGINE LENYE THAMANI YA BILLION 4.8 MIRERANI

Soma na hizi

Tupia Comments