Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Bilionea Uingereza kuinunua Chelsea
Share
Notification Show More
Latest News
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mpya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Bilionea Uingereza kuinunua Chelsea
Sports

Bilionea Uingereza kuinunua Chelsea

March 10, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Bilionea kutoka nchini Uingereza na shabiki mkubwa wa Chelsea, Nick Candy amethibitisha kuwa na nia ya kutaka kuinunua Klabu ya Chelsea ambayo imewekwa sokoni na mmiliki wake, bilionea kutoka Urusi, Roman Abramovic.

Bilionea Candy ameweka mezani ofa ya kiasi cha paundi bilioni 2.5 pamoja na nyongeza ya paundi bilioni 1.5 kwa ajili ya matengenezo ya Uwanja wa Stamford Bridge, kitu ambacho matajiri wengine waliojitokeza wameshindwa kukifanya.

Msemaji wa Candy amesema: “Nick Candy kwa sasa anaangalia baadhi ya masuala kwa ajili ya kuinunua Chelsea. Ofa yoyote lazima tutaungana na kampuni nyingine na tupo makini na nia ya kuungana na wenzetu wa kimataifa.”

Ikumbukwe kuwa Roman Abramovic alisema tarehe ya mwisho ya kupokea ofa kwa ajili ya kuiuza Chelsea ni Machi 15, mwaka huu.

BINTI MTANZANIA ALIETOROKA UKRAINE ASIMULIA, MATESO ALIYOPITIA, MABOMU, RISASI

You Might Also Like

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

Haji Manara amtambulisha Aziz Ki kama Mfalme, ambusu magoti, amfunga viatu

TAGGED: michezo
Pascal Mwakyoma TZA March 10, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Tazama Kelvin Momo alivyoinogesha Boiler Room Afrika Kusini (video+)
Next Article Mganga asema Binti anaedaiwa kumuua Mama yake ni rafiki yake (+video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mpya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mpya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?