AyoTV

VIDEO: Wizara ya muungano kutengewa zaidi ya Bilion 19 kama bajeti yake 2017/2018

on

Waziri wa Nchi, ofisi ya makamu wa Rais January Makamba aliwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo wizara imeomba kutengewa zaidi ya shilingi billion 15.

VIDEO: Kipindi cha maswali na majibu Bungeni April 24, 2017

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments