Top Stories

Ubadhirifu wa Bilioni 1.8 Naibu Waziri amfungukia Mhandisi “utazitapika” (+video)

on

Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso anaendelea na ziara Mkoani Kagera na baada ya kufika Wilayani Misenyi amekumbana na changamoto ya Mhandisi wa Halmashauri hiyo Abdalah Gendaheka ambaye yupo masomoni kwa sasa lakini amesababisha ubadhirifu wa zaidi ya Bilioni 1.8 wakati maji hakuna yanapotoka.

Ameagiza Mhandisi huyo kufika haraka sana kwenye Ofisi za Wizara ya Maji Dodoma ili aweze kutoa maelezo juu ya fedha hizo.

RC MWANRI AWAIBUKIA WALIOFUNGA NDOA NA MWANAFUNZI “MNOKO CHIKICHII NIMEWASUKUMIA NDANI”

Soma na hizi

Tupia Comments