Premier Bet
TMDA Ad

Mix

Upotevu wa Bil 1.5, Waziri wa Rais Magufuli kawasimamisha kazi watumishi wanne leo feb 15..(+Audio)

on

Leo Feb 15 2016 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alifika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar, Lengo likiwa ni kupokea vitanda na magodoro kutoka katika Bohari kuu ya dawa (MSD) kufuatia agizo la Rais Magufuli kutaka Hospitali hiyo kuongezewa vitanda, Lakini shughuli haikuishia hapo tu, akaligusia suala la upotevu wa fedha karibia Bil 1.5 na baada ya hapo akaamua kufanya maamuzi.

Full stori nimekusogezea kwenye hii sauti hapa chini..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments