Jinsi mashabiki walivyopata burudani kali kutoka kwa wasanii Club Bilz (+Picha)
Share
2 Min Read
.
SHARE
Ni usiku wa March 20, 2016ambapo wakali kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva waliungana kwa pamoja kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki waliohudhuria katika ukumbi wa Club Bilz.miongoni mwa wasanii walionogesha stage akiwemo Roma Mkatoliki, Abdul Kiba, Mo Music, Ali Kiba, Dayna Nyangena wengineo.
Hizi ni baadhi ya pichakutoka kwenye tukio hilo
.Msanii Mo Music akitoa burudani ya nguvu...Msanii wa Hip HopRoma Mkatolikini miongoni waliotoa burudani ya nguvu usiku wa March 20, 2016.Miongoni mwa wasanii waliohudhuria show hiyo alikuwa ni Ali Kiba ambaye alipanda jukwaani na kumpa support mdogo wakeAbdul Kiba.Mashabiki wakipata burudani ya nguvu kutoka kwaAbdul KibaPichani: Abdul Kiba akiimba jukwaani wimbo wa Ayayaa aliyoshirikisha Ruby ambapo Gygi Money alipanda jukwaani na kuimba badala ya Ruby ili mashabiki waienjoy burudani kali.Abdul Kiba
.Msanii (katikati) Dayna Nyange na watu wake wa nguvu.Roma Mkatoliki akiwa na watu wa nguvu..Mr T-Touch pamoja na watu wa nguvu.Dayna Nyange na Future JNL.Belle 9 na Moni Central zone ni miongoni waliohudhuria show hiyo iliyofanyika usiku wa March 20, 2016 katika ukumbi wa Club Bilz
Unataka kutumiwa MSGza habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo?ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE
ULIMISS KUANGALIA ZAWADI ALIYOPEWA DOGO JANJA NA UONGOZI WAKE WA TIPTOP AINA YA BENZ