Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jinsi mashabiki walivyopata burudani kali kutoka kwa wasanii Club Bilz (+Picha)
Share
Notification Show More
Latest News
Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Jinsi mashabiki walivyopata burudani kali kutoka kwa wasanii Club Bilz (+Picha)
Habari za Mastaa

Jinsi mashabiki walivyopata burudani kali kutoka kwa wasanii Club Bilz (+Picha)

March 21, 2016
Share
2 Min Read
.
SHARE

Ni usiku wa  March 20, 2016 ambapo  wakali kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva waliungana kwa pamoja kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki waliohudhuria katika ukumbi wa Club Bilz.miongoni mwa wasanii walionogesha stage akiwemo Roma Mkatoliki, Abdul Kiba, Mo Music, Ali Kiba, Dayna Nyange na wengineo.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo

.
.Msanii Mo Music akitoa burudani ya nguvu
.
.
.
.
.
.Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki ni miongoni waliotoa burudani ya nguvu usiku wa March 20, 2016
.
.Miongoni mwa wasanii waliohudhuria show hiyo alikuwa ni Ali Kiba ambaye alipanda jukwaani na kumpa support mdogo wake Abdul Kiba
.
.Mashabiki wakipata burudani ya nguvu kutoka kwa Abdul Kiba
.
Pichani: Abdul Kiba akiimba jukwaani wimbo wa Ayayaa aliyoshirikisha Ruby ambapo Gygi Money alipanda jukwaani na kuimba badala ya Ruby ili mashabiki waienjoy burudani kali
.
.Abdul Kiba

AW1A8787

.
.Msanii (katikati) Dayna Nyange na watu wake wa nguvu
.
.Roma Mkatoliki akiwa na watu wa nguvu
.
.
.
.Mr T-Touch pamoja na watu wa nguvu
.
.Dayna Nyange na Future JNL
.
.Belle 9 na Moni Central zone ni miongoni waliohudhuria show hiyo iliyofanyika usiku wa March 20, 2016 katika ukumbi wa Club Bilz

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

ULIMISS KUANGALIA ZAWADI ALIYOPEWA DOGO JANJA NA UONGOZI WAKE WA TIPTOP AINA YA BENZ

You Might Also Like

Tanzania ya 3 kutumia Audiomack, wasanii changamkieni

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Picha: Zuchu, Mwana FA na wengineo walivyotoa burudani hafla ya kuwaaga Wabunge

Str8upvibes kumleta ‘Kizz Daniel’ Tanzania?

TAGGED: Pichaz
Edwin TZA March 21, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 21 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo
Next Article Pichaz 20:kutoka kwenye Kamatia Chini Lights UP Tour ya Navy Kenzo Club 71 Dar…
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
Entertainment August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 18, 2022

August 18, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 16, 2022

August 16, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 15, 2022

August 15, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?