Top Stories

Binadamu aliyefananishwa na Sokwe Rwanda apelekwa Shule (video+)

on

Wengi wetu tumezisoma sana habari kuhusu Zanzimana Ellie (22) wa Rweanda ambaye amekuwa gumzo kutokana na kufananishwa na Nyani ama Sokwe ambapo Mama yake alisema Kijana huyu toka alipozaliwa amekua akipenda kukaa msituni na kujitenga na shughuli nyingine za kawaida za Binadamu, taarifa mpya ya leo inasema wamejitokeza Wasamaria wema na kumpeleka Shule.

MTANZANIA ALIYEUAWA MAREKANI, FAMILIA YASIMULIA “ALIGONGA GARI KWA NYUMA”

 

Tupia Comments