Tangu nchi yetu ilipokuwa ikipata uhuru wake mnamo 1961, suala la michezo lilikuwa likionekana kama vile ni jambo la kujifurahisha tu na baadaye ikageuka kuwa ni moja ya ajira kwa wachezaji.
Lakini kadri miaka ilivyokwenda, michezo imeonekana kupiga hatua kubwa na sasa haijaishia kutoa ajira kwa wachezaji tu ila kwa sasa mashabiki nao wanaweza kuvuna pesa zinazozalishwa kwenye michezo.
Ujio wa kampuni mpya ya michezo ya kubahatisha nchini Tanzania inayojulikana kwa jina la Bingwabet umekuwa sehemu ya kutoa fursa kwa mashabiki wa michezo nchini kuvuna pesa zinazopatikana kwenye michezo.
Wafuatiliaji wa masuala ya michezo nchini, hususan soka, kwa kipindi kirefu wamekuwa wachangiaji wakuu wa mapato ya timu zao, lakini Bingwabet imekuja kuwafanya mashabiki wachangiwe na timu zao.
Kufanya vizuri kwa timu zinazoshabikiwa na mashabiki hao kutafanya wanaozishabikia kuvuna hela baada ya kubeti kwa usahihi kwenye Bingwabet, pamoja na kupata bonasi nyingine.
Kwa mashabiki wa vilabu vya Simba na Yanga, wana nafasi kubwa ya kuvuna hela hizo kutokana na utazamaji wa mara kwa mara wa mechi uwanjani na runingani kuwapa uwezo wa kutathmini mechi zinazofuata na timu hizo.
Utazamaji wa mara kwa mara wa mechi huwapa mashabiki uwezo wa kufanya tathmini za mechi za ligi za ndani na nje ya Tanzania, kwani huujua uwezo wa timu zinazokutana na kubashiri kwa usahihi.
Inavyotajirisha Mashabiki
Bingwabet imekuja na madhumuni ya kubadilisha uso wa michezo ya kubahatisha, na kuwa bora zaidi nchini tofauti na ilivyokuwa awali, kwa kuwawezesha washiriki kuvuna mapato mengi na bonasi.
Bingwabet wanaojulikana kama wafalme wa bonasi nchini, imekuja na utaratibu unaotoa bonasi hadi mara mia mbili (200X) ya dau la shabiki aliyeshiriki kwa mara ya kwanza, ikiwa ni kama ukaribisho kwa mteja wake mpya.
Hii inatoa nafasi kwa mashabiki wa michezo wanaoshiriki michezo ya kubahatisha kupitia Bingwabet katika siku yao ya kwanza kuwa na nafasi ya kushinda pesa nyingi hata wakiweka dau la chini.
Shabiki anapobeti kwenye Bingwabet, ushindi wake wa ubashiri kwa usahihi wa mechi utazidishwa hadi mara asilimia mia tatu (300%) kila anapoweka ubashiri wake wa mechi tano au zaidi.
Jinsi ya Kushiriki
Bingwabet ni kampuni ya kubeti ambayo shughuli zake zote za kubahatisha huwa zinafanyika mtandaoni, ikiwa muongozo rahisi unaoweza kumfanya kila shabiki wa michezo kuweza kushiriki.
Michezo ambayo hufanyiwa ubashiri kwenye Bingwabet ni kama vile mchezo wa mpira wa miguu (soka), mpira wa kikapu, tenisi, kriketi, ndondi na michezo mingine mbalimbali.
Vilevile Bingwabet hutoa huduma ya michezo ya kompyuta ya aina mbalimbali za michezo, ambayo ni maalum kwa mashabiki wa michezo kujiburudisha na kuchangamsha akili.
Fursa kwa Mashabiki
Kutokana na Bingwabet kuamini katika uchampioni kwa kila shabiki michezo, kwa maana ya kila shabiki anaweza kuwa championi katika kile anachokishabikia ama kukifanya kwa mapenzi makubwa.
Hivyo, Bingwabet imeahidi kufanikisha ndoto za uchampioni wa kila shabiki zinatimia endapo shabiki huyo atajiunga sasa na kuanza kuweka bashiri zake na kuwa mmoja wa wanafamilia wa Bingwabet.
Kwa maana hiyo, huu ndio wakati wa mavuno kwa mashabiki wa michezo ambao kwa miaka yote wamekuwa wakizichangia tu timu zao kwa mapenzi makubwa, kutokana na Bingwabet kuwaalika mashabiki.
Viongozi wa vyama vya michezo na vilabu pamoja na wachezaji hawaruhusiwi kubeti hata kwa siri kwenye Bingwabet, kwani wenye nafasi ya kushiriki na kuvuna pesa ni mashabiki pekee.
Hivyo, mashabiki wa vilabu vya michuano ya ndani na nje ya Tanzania, wanaweza kuitumia Bingwabet kwa ajili ya vipato vya kila siku vya kuendesha maisha, viingilio vya viwanjani ama hata kusafiri na timu kwa ajili ya mechi.
Aidha, kwa wakati huu ambao Tanzania imekuwa na mikakati mingi ya maendeleo, Bingwabet inatoa nafasi kwa kila shabiki wa michezo kutoa mchango wake katika kukuza uchumi kwa kubeti kwenye Bingwabet.
MAGUFULI AWASIMAMISHA DIAMOND NA ALIKIBA BIFU YAO “PATANENI, NYINYI NI VIJANA” AWAPA SOMO