Top Stories

Binti anayedaiwa kumuua Mama yake Moshi afikishwa Mahakamani (video+)

on

Wendy anayedaiwa kumuua mama yake na kisha kuufukia mwili wa Marehemu nyuma ya nyumba yao leo January 26, 2022 amefikishwa Mahakamani muda huu.

Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa kamili kile kilichojiri Mahakamani.

MAOFISA SABA WA POLISI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI MTWARA “JAMBO HILI TUMELIPELEKA MAHAKAMANI”

Soma na hizi

Tupia Comments