Top Stories

Binti ‘bubu’ abakwa na kulawitiwa na Vijana wanne, Mama asimulia machungu, Diwani Raibu aibuka (+video)

on

Binti wa miaka 20 ambae anaishi Mkoani Kilimanjaro ambae ni mlemavu wa akili inadaiwa alibakwa na Vijana wanne (4) na kwake yeye haikuwa rahisi kuwaeleza Wazazi wake tukio alilofanyiwa na Vijana hao kutokana na kushindwa kuongea kwani yeye ana ulemavu wa kutosikia yaaani ‘bubu’.

Kupitia rafiki wa Mama yake aliweza kugundua baada ya kuona mwendo wa Binti huyo umebadilika.

MAHUBIRI YA RC MWANRI “HAFI MTU HAPA ACHENI HIZO KIBEBEO CHA MAJUKUMU”

Soma na hizi

Tupia Comments