Habari za Mastaa

Birdman afunguka kiasi cha fedha anachoingiza kwa mwaka kupitia muziki

on

Ni Mkali wa Hip Hop kutokea nchini Marekani, Bryan Christopher Williams a.k.a Birdman ambae time hii kupitia kwenye mahojiano yake katika Podcast iitwayo Big Facts.

Amefunguka na kutaja kiasi cha mkwanja anaoingia kwa mwaka kupitia muziki wake.

Staa huyo anasema kwa mwaka anaingiaza Bilioni 46 hadi Bilioni 92.6 ($20M & $40M).

Unaweza ukaitazama hapa interview yenyewe ufahamu zaidi pamoja na mengineyo kuhusu Rekodi label “Cash Money”.

DIAMOND AWABURUZA ALIKIBA, HARMONIZE NA WENGINE VIPENGELE AFRIMA, LIST KAMILI YATAJWA

Soma na hizi

Tupia Comments