Top Stories

Birthday ya Kusaga atinga Clouds na familia yake, aomba wimbo wa Mbosso

on

Ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa CEO wa CMG Joseph Kusaga ambapo mapema leo amehojiwa kupitia Clouds FM na kuelezea mambo mengi ikiwemo mchongo wa Milioni 550 kwa Vijana 55, Sasa moja katika ya matukio niliyoyanasa ni hii namna alivyofika mjengoni na kuomba wimbo wa msanii wa WCB aitwae Mbosso na kueleza sababu za kuupenda wimbo huo.

RAIS SAMIA AMTEUA MRITHI WA MSIGWA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

 

Tupia Comments