AyoTV

VIDEO: ‘Rais itabidi awasikilize watu waliompa kura’-Bisimba, Mkurugenzi LHRC

on

Leo March 21 2017 Kituo cha sheria na haki za binadamu kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu, Dk Helen Kijo-Bisimba amesema wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za RC Makonda kuingia ofisi za Clouds Media akiwa na askari wenye silaha.
Bisimba ametoa wito kwa Serikali imchukulie hatua za kinidhamu na kijinai mkuu huyo wa mkoa. Bonyeza play hapa chini kumsikiliza

VIDEO: Waziri mkuu mstaafu Sumaye kazungumza kinachoendelea kuhusu Makonda, Bonyeza play hapa chini kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments