AyoTV

VIDEO: ‘Mnawezaje kuwafundishia wanafunzi vitabu vyenye makosa?’ -Doto Biteko

on

Mbunge wa Bukombe Doto Biteko amehoji ndani ya bunge sababu ya serikali kuendelea kukaa kimya baada ya kubainika kuna baadhi ya vitabu vilivyotolewa kwenye shule nchini vikiwa na mapungufu ya kitaaluma na kupelekea wanafunzi kupata elimu isiyo stahiki.

VIDEO: Swali la Nape Nnauye kwa Serikali Bungeni May 15, 2017 

Soma na hizi

Tupia Comments