AyoTV

VIDEO: ‘Hatukubali udhalilishaji unaofanywa kwa walimu”-Doto Biteko

on

Mbunge wa Bukombe Doto Biteko amesema haikubaliki hatua ya kuwavua madaraka wakuu wa shule kwa sababu ya kufeli kwa wanafunzi, amezitaja baadhi ya sababu zinazoweza kusababisha wanafunzi kufeli ambazo Serikali ikiziangalia zitasaidia kuboresha viwango vya elimu nchini.

VIDEO: Halima Mdee Vs Goodluck Mlinga Bungeni 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments