Top Stories

Kauli ya Mufti Mkuu Tanzania kwa wanaopiga mziki wakati wa kufuturisha (+video)

on

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry ambapo amewahasa Waislamu na wasio Waislamu kuzingatia maadili wakati wa kufuturisha katika Mwezi mtukufu wa Ramadhani hasa kwa kuacha kufanya mambo yanayokiuka misingi ya dini ikiwemo kupiga mziki.

Wale wanaofuturisha wajaribu kulinda maadili ama utamaduni wa Kiisalumu, isiwe watu wanafuturisha huku wanapiga mziki ama wanasema maneno mengine,” amesema.

WATOTO NA WAZEE WALIVYOCHUANA KUSOMA QUR’AN MBELE YA DR. TULIA, BASHIRU NA DR. KIJAJI

Soma na hizi

Tupia Comments