AyoTV

VIDEO: Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria ya zaidi Bilioni 35 ilivyowasilishwa bungeni

on

Mei 5 2016 Waziri wa katiba na sheria, Harrison Mwakyembe amewasilisha bungeni mpango wa makadirio ya bajeti kwa mwaka 2016/2017.

Waziri Mwakwembe amesema..>> ‘Wizara yangu itaendelea na uratibu na uimarishaji wa mfumo wa sheria wa nchi na oia juhudi za kuongeza ubora na kuimarisha upatikanaji wa huduma za kisheria na kikatiba sanjari na dhima ya Wizara

Wizara itachukua hatua kuimarisha upatikanaji wa msaada wa kisheria kwa watu wasio na uwezo, kuimarisha utunzaji wa kumbukumbu na takwimu, aidha Wizara italitumia kwa karibu zaidi jukwaa la haki jinai chini ya Mkurugenzi wa mashtaka.’

Unaweza kuipata yote kwenye hii video hapa chini…

ULIIKOSA HII BAJETI YA WIZARA YA KILIMO YA ZAIDI BILIONI 200 ILIVYOWASILISHWA BUNGENI?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments