Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Dah!! Kijana wa miaka 20 kahukumiwa kwenda Jela miaka 30 Bukoba leo
Share
Notification Show More
Latest News
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
September 22, 2023
Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Dah!! Kijana wa miaka 20 kahukumiwa kwenda Jela miaka 30 Bukoba leo
Top Stories

Dah!! Kijana wa miaka 20 kahukumiwa kwenda Jela miaka 30 Bukoba leo

December 8, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Lazima upige hesabu za harakaharaka ukisikia mtu kahukumiwa kwenda jela miaka 30, ni umbali mrefu sana ambao inaweza kukuchukua muda kuitafakari hiyo safari.

Habari zilizoingia mchana huu kutoka Bukoba Kagera Tanzania ni kwamba Mahakama ya Wilaya Bukoba kupitia kwa Hakimu Mkazi Joseph Luambano imemuhukumu Emanuel Cleophace (20) kwenda jela kwa miaka 30 kwa kosa la kumuoa Mwanafunzi wa kidato cha nne.

Mwanafunzi alieolewa alikua akisoma kwenye Shule ya Sekondari Kabugaro iliyopo kwenye Manispaa ya Bukoba Kagera ambapo Mawakili wa Serikali Emmanuel Kahigi na Haruna Shomary walikua wakiisimamia kesi hiyo toka mwaka 2016 na Hukumu imetolewa leo.

Mtuhumiwa ni mkazi wa Bukoba na alikuwa akikabiliwa na kosa la kumuoa Adilia Alistides mwenye umri wa miaka 18 ambae wakati anamuoa alikua amehitimu kidato cha nne lakini matokeo yalikua bado hayajatoka

Tazama zaidi hii video hapa chini kujionea

MAGAZETI LIVE!! JPM 2018 ITAPENDEZA…. POLISI WAGONGA MWAMBA KUMUHOJI LISSU… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

You Might Also Like

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno

Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho

TAGGED: Breaking news, TZA HABARI
Millard Ayo December 8, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article BREAKING: RC wa K’njaro Anna Mghwira atangaza kujiunga na CCM
Next Article MAHAKAMANI: Anachohitaji Rugemarila kuhusu mwizi wa Bil.309 za Serikali
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
Sports September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
Sports September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
Top Stories September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta

September 22, 2023
Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?