Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Nakukutanisha na Beka Title pamoja na Shebby Love kwenye hii video yao mpya #Baikoko.

on

bkkBeka Title ambaye ni miongoni mwa mastaa waliyoshiriki kwenye singo kadhaa za Kibongo kwenye upande wa viitikio na zikafanya vizuri, hapa yuko na Shebby Love kwenye singo yao inayoitwa Baikoko.

Umoja huu wameupa jina la Famo Sound,hizi ni dakika 3 kutoka kwao, Bonyeza play kutazama.

Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments