AyoTV

VIDEO: Kuna Mbunge kataka wanaolawiti Watoto wahasiwe, Waziri wa katiba na sheria kamjibu

on

Angelina Malembeka Mbunge wa viti maalum kamuuliza Waziri wa Katiba na Sheria Mwakyembe kuwa ‘adhabu inayotolewa kwa watu wanaolawiti watoto nchini adhabu imekuwa kifungo cha maisha, kwanini wahusika wasihasiwe ili wasirudie vitendo hivyo’

Tazama hii video hapa chini kujua stori kamili kutoka bungeni….

ULIIKOSA HII PROF TIBAIJUKA- ‘WANAOSEMA MIMI MWIZI WATAISOMA NAMBA’?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments