Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ya leo kwenye ile kesi ya waliofungua account feki kusaidia maafa Kagera
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
March 25, 2023
Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’
March 25, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Ya leo kwenye ile kesi ya waliofungua account feki kusaidia maafa Kagera
Mix

Ya leo kwenye ile kesi ya waliofungua account feki kusaidia maafa Kagera

October 13, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Reporter wa AyoTV na millardayo.com Kagera ameripoti kutoka Mahakama ya hakimu mkazi Bukoba akisema kesi ya waliofungua akaunti feki ya kusaidia waliopatwa na maafa ya tetemeko la ardhi Kagera imeahirishwa leo.

Ni Kesi inayowakabili watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutumia madaraka yao vibaya na imeahirishwa mpaka November 14 2016 kwa sababu upelelezi bado unaendelea na wanaendelea kuwa nje kwa dhamana.

Watuhumiwa hao ambao walifungua akaunti ya benki kinyume na utaratibu kwa ajili ya kukusanya michango ya maafa kagera kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea mkoani humo September 10 mwaka huu, ni aliyekuwa katibu tawala mkoa wa kagera Amantius Msole, Mkurugenzi wa manispaa ya Bukoba Kelvin Makonda, mhasibu wa mkoa Kagera Simbaufoo Swai pamoja na meneja wa benki ya CRDB tawi la Bukoba Carlo Sendwa.

Mawakili wa watuhumiwa wameiomba mahakama kuweka wepesi katika kesi hiyo ili iweze kuisha haraka, kama hukuona jinsi watu walivyoteseka baada ya tetemeko jingine lililotokea baada ya la kwanza na kuleta hofu mpaka watu wakaamua kulala nje.

You Might Also Like

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo October 13, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Staa wa Chelsea kafiwa na mama yake mzazi
Next Article Baada ya wiki 8 imeripotiwa Drake na Rihanna wameachana tena
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
Magazeti March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
Top Stories March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
Entertainment March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
Top Stories March 25, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo

March 25, 2023
Top Stories

Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’

March 25, 2023
Top Stories

Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana

March 25, 2023
Top Stories

Wananchi Wilayani Korogwe wamuomba hili DC Jokate kutafuta ufumbuzi, ‘Changamoto ya Tembo’

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?